Namchukia mume wangu

I think u shuld tell him that u need space and that you find him very annoying at times. he'll get the message.
 
Shosti unaelekea unataka mane no ya watu ya rohoni, si mda mrefu ulikuja na mpya kua mume kafunga cm na ukampaka matope tele Leo umekuja na balaa jengine usikilize Moyo wako.
 
Umemkumbua ee
hata mie simsomi kabisa

ff kamaliza
labda tunahangaishwa na embe mbichi

Shosti unaelekea unataka mane no ya watu ya rohoni, si mda mrefu ulikuja na mpya kua mume kafunga cm na ukampaka matope tele Leo umekuja na balaa jengine usikilize Moyo wako.
 
I know kumbadilisha mtu mzma ni kazi lkn acha nijaribu njia hii pamoja na maombi
 
Huyu davina si ndo alisema
anataka kuachana na mumewe sababu hapigi simu akisafiri?
Eti ni mvivu wa mawasiliano?

Kama ndiye ana lake jambo, kidumu kimekolea.

ekIZAKTLY. ,. .Una kumbu kumbuku ndugu. .Apa kwel mkimshauri mnatwanga maji kwnye pwa pwa pwaa
 

methali inasema kwenye baibo hekima hujenga nyumba ya mungu
so ni hekima itakayokusaidia kujua jinsi gani ya kukuondoa hiyo hasira sitaki kusema sio wakwako maana uhalisia utajulikana auto..so omba mungu afanye divine intervation nakwambia akuna asiebadilika mwaya
chukua nafasi yako simama na mungu mwisho wa siku watabaki wakikuonea wivu..mume kuwa na wivu ni wajibu wake mwaya hiyo siyo cement ukatengenezee sakafu ukanyagie huyo ni wako mpaka umezaa nae watoto wawili ingawa we ndie unaejua wa kwake ama laah mi nachukulia ulichoandika basi simama nafasi yako na kama unajua anatunza mtoto si wake hata kama ni mmoja utatesekaa daima mpaka utakapaokuwa mkweli

usiku mwema
 

Boss ukweli mtupu unaoongea. Ila ukweli unaumiza sana. Na mara nyingi pamoja na kujaribu kubisha na kujifanya hatuoni, mahusiano yanayopelekwa kwa spanner kama mechanical machines hayadumu. Yanaingia vidudu mtu at some point!ukiona mtu anaoa msomi halafu anataka kumfungia ndani pamoja na kuwa ana uwezo wa kufanya kazi, basi jua iko maneno. Huyo jamaa hana nia njema na siku ipo ukweli huo utajizihirisha! Halafu kulikoni ukaolewe na kababu?
 

...madhali huna baya unalofanya wasiwasi wako wa nini?...wivu ni ugonjwa, atajitibia mwenyewe.
 
davina, pole sana mdogo wangu! Umesema mumeo ni mtu wa totozi sana..Utu huu wa Totozi ulianza kabla ya ndoa au baada ya? Kama ni kabla, pole sana mdogo wangu kwani inaelekea ulidhani atabadilika..hatabadilika kamwe! Na hilo wazo la kusema kakupita umri futa kabisa....as long as ni mumeo, huyo ni mkubwa mwenzako sasa!!. Achana na biashara ya kulia..he will never take you seriously! Kaa chini, jitafakari, mabadiliko yataletwa na wewe...
 
Ili usimchukie MPENDE.
Badala ya kukereka akikufuatilia chukulia kwamba anakupenda sana hivyo anakulinda.


Kupenda au kuchukia ni mwitikio wa moyo na siyo mechanical kihivyo jamani. Stimuli mbaya haiwezi kuitikiwa kwa upendo.
Inahitaji kazi ya ziada kupenda mtu anayekusugua upande mbaya.Ndoa ni taasis nyeti inayohitaji kazi ya ziada.Mume keshamfanya mke amchukie kwa sababu ya vitendo anavyomfanyia.Ili mke ampende tena itahitaji kurekebisha mambo yanayomfanya mke kumchukia.Bahati mbaya wenyewe hawawasiliani kusikilizana na kukubaliana kuachia baadhi ya mambo wanayopishana.Mume mwenye ubinafsi, mwenye wivu, mwenye kero na mwenye mabavu, ni vigumu kumbadilisha.Davina anahitaji kuchunguza na kujua ni mtu gani anayeheshimiwa na huyo mumewe hasa ndani ya familia na kujaribu kuongea naye ili awasaidie kwa ushauri.Ikishindikana, ni mawili, kutafuta talaka au kukomaa hivyo hivyo ndani ya hiyo ndoa.
 
mimi nakushauri acha kumchukia mume wako!
 
kwanza futa dhana ya kusema "" unamchukia mume " unatakiwa umpende kwa kila hali ...

pili hata ukiwa mzuri si lazima utongozwe yawezekana unaumia kwa kukosa fursa ya kutongozwa ..

kaa chini jipange jinsi ya kuishi na mmeo yawezekana kuna mambo unamkwaza ndo maana amekuundia jeshi la ulinzi
 
Nashukuruni kwa ushauri wenu wapendwa mimejifunza mengi sana hapa mungu awabariki cna ushaurio wenu ntaufanyia kazi lov u all
 
Reactions: BPM
Aliekwambia mtu mzima habadiliki nani wanawake mna nguvu sana ya kuwabadilisha wanaume unakuta mtu mtaani kashindikana maovu yote anafanya yeye lakini akipata mwanamke anambadilisha mpaka watu wanajiuliza hivi huyo ndio yule yule au mwingine kaa chini na mumeo mzungumze ndoa mbaya ukiwa ndani siku mtakapoachana ndio utaona umuhimu wa kuwa na mweza
I know kumbadilisha mtu mzma ni kazi lkn acha nijaribu njia hii pamoja na maombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…