Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,346
Ni jambo jema kumpongeza na kumpa moyo mtu anayefanya kazi nzuri. Kati ya watangazaji wa kipindi cha magazeti star tv na rfa, huyu dada watu wengi wanamkubali. Habagui hbr na anajua ni hbr zipi zenye mvuto kwa wasikilizaji na huzima kwa msisitizo. Ni tofauti sana na mwenzie Tom Chilala ambaye akiwa msoma magazeti siku hiyo watu wengi hawasikilizi kwani anaboa.