Ni jambo jema kumpongeza na kumpa moyo mtu anayefanya kazi nzuri. Kati ya watangazaji wa kipindi cha magazeti star tv na rfa, huyu dada watu wengi wanamkubali. Habagui hbr na anajua ni hbr zipi zenye mvuto kwa wasikilizaji na huzima kwa msisitizo. Ni tofauti sana na mwenzie Tom Chilala ambaye akiwa msoma magazeti siku hiyo watu wengi hawasikilizi kwani anaboa.

Hata mimi namfagilia sana .....
Mkuu wewe ndiye Mr, au ndugu yake au majina tu kufanana?
anaitwa Joyce Mwakalinga?? sio dadako mkuu umemuanzishia uzi kumfagilia kwa id tofauti???????????