Kashapewa haki yake mkuuYanga hajapigwa???
Waliipigia wapi?Timu iliyopigwa 4 na Zimba ineinyanyasa Yanga
Waliipigia wapi?
ya nini
Haya ni mazoezi au kukaguana??!!!
Umesahau VPL taifaWaliipigia wapi?
Na mjipange kweli Wahabesh wanaweza kuwarudisha nyumbaniPoa tu.
Tunajipanga kwa mechi ijayo na wahabeshi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]