B bhututu JF-Expert Member Joined Sep 14, 2016 Posts 849 Reaction score 784 Oct 20, 2024 #81 Mjomba asimamishwe kazi kwa muda hata mwezi au miwili,asifukuzwe kwanza. Kama atabadilika arejeshwe kama habdiliki Huna hatia mtimue.
Mjomba asimamishwe kazi kwa muda hata mwezi au miwili,asifukuzwe kwanza. Kama atabadilika arejeshwe kama habdiliki Huna hatia mtimue.
sasilo village 1 Member Joined Jul 30, 2024 Posts 81 Reaction score 167 Oct 20, 2024 #82 Mwizukulu mgikuru said: Mzunguke mbuyu mjomba....wape sauti hao madreva na mafundi, mjomba akizingua ale vitasa kimyakimya😁😁 halafu wewe unajifanya kama hujui kinachoendelea.......dawa ya moto ni moto sio kuzima moto. Click to expand... Umeandika point sana
Mwizukulu mgikuru said: Mzunguke mbuyu mjomba....wape sauti hao madreva na mafundi, mjomba akizingua ale vitasa kimyakimya😁😁 halafu wewe unajifanya kama hujui kinachoendelea.......dawa ya moto ni moto sio kuzima moto. Click to expand... Umeandika point sana