Namfuta dr wa uzazi

Mgengeli

Senior Member
Joined
Sep 23, 2011
Posts
193
Reaction score
13
Wana JF namtafuta Dr wa mambo ya uzazi kwa ajiri dada yangu anayetegemea kujifungua kama unamfahamu nijulishe shukrani kwenu
 
mkuu habari yako mbona haina tumbo.....upo mkoa gani....?
 
Nenda Muhimbili Kitengo Uzazi na Akina mama wajawazito; omba kumwona Dr. Angela Thomas............ni bingwa na atakusaidia
 
Wana JF namtafuta Dr wa mambo ya uzazi kwa ajiri dada yangu anayetegemea kujifungua kama unamfahamu nijulishe shukrani kwenu

Anatarajia kujifungua lini? Alikuwa anahudhuria kliniki ya waja wazito? ameonekana na tatizo lolote kiasi cha kuhitaji huduma ya daktari bingwa kujifungua? Kwani si kila mzazi anahitaji huduma ya daktari bingwa kujifungua...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…