Namhurumia Mchungaji Lusekelo, amepatwa na nini?

Ndugu yangu ni aibu kusema..mpaka alimfanyia fujo mtu na akarekodiwa hivi tukaona..na eneo la tukio mashahidi walishuhudia tena asubuhi na mapema katika ulwvini na mabaunsa wake...anatukana vibaya
Basi kuna binti mmoja akaja kumuansika kwenye blog yake..huyu lusekelo akamwambia we binti na wenzio mlioninansika nawatabiria hamfiki mwezi march mnakufa.tena kanisani
Hii ni mbaya sana.mtumishi wa Mungu unamtabiria mtu kifo? Wakati unahubiri maandiko wanasema nsamehe..
Sorry Aggy, Mchungaji anakunywa pombe !??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namshauri afanye kama Mchungaji maarufu sana wa jijini Mwanza maeneo ya Kangai maarufu kama BABA GOD, yeye baada ya afya yake kuwa kama ya huyo Lusekero alipotea kabisa hadi leo hii hajulikani alipo....waumini wake ukiwauliza wanasema alienda KUZIMU, kumbe yupo sehemu anajiuguza na ARV...ila habari za ndani zinasema alishatangulia mbele ya haki, wiki ijayo nitaanzisha uzi hapa wa Baba Godi
 
Kwani wizi maana yake nini?


Sent using Jamii Forums mobile app
Kuchukua Mali ya MTU mwingine bila idhini yake,sadaka zile mwenye idhini ya mwisho ni yeye mwenye kanisa. Wahudumu wangechukua ndio tungesema wameiba!!Yeye akitumia vinginevyo hajaiba ,labda tunaweza kusema kafanya Ubadhilifu...yaani kutumia Mali pasipo usahihi wake wa malengo na kiwango kilichotakiwa au kutarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uongo wa adharani unatesa sana ana jihita mzee wa bapa namkubali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…