We wa wapi?
Vp kwan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
soon jf itapigwa PIN ya nguvu
Nimemfahamu miaka mingi Tanzania Daima sijui alipo sasa
Haiitaji ushahidi kujua Lusekelo ni mlevi.una ushahid ni mlevi?
Ok....kama jack Daniel, na vodka?Hapana ila Pombe inaleta madhara sana kwenye ini hasa hizi zenye alcohol %age nyingi.
Wewe wasema!Ugua pole mchungaji!
Watanzania siku hizi huwa hatuchelewi kutoa ubashiri ambao hautuhusu, utasikia anasumbuliwa na gridi ya taifa.
Brother hakunaga kitu kinaitwa 'urembo' when a man puts a stone on his finger, hiyo ni Blue Sapphire ring ina mazito sana, kwanza kabisa tayari nimeshajua kuwa Mchungaji kazaliwa September, dont quote me wron, yeye kuivaa haimaanishi 'uchawi' la bali nakwambia tu ya kwamba kaivaa kwa imani maalumu;Utakuwa urembo tu, sidhani kama ina umuhimu wowote kwenye huduma yake
Wewe unaishi nchi gani? mbona ilikuwa habari ya runingani kabisa!Mmepinda..halafu kama mna uhakika ongeeni jamani.bila kama sivyo mtahukumiwa kwa vinywa vyenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukimwi siku hizi sio msala mkubwa kama unavyodhani, shughuli ipo kwenye KISUKARI hapo hakunaga mswalie!
Ungejua siasa za Africa haya usingeyaongea!Hata Julius Kamarage kinga ya mwili wake ilipungua saaana hata magonjwa nyemelezi yakamshambulia na kumuua!!
Hahaha. Asante mkuu kwa maarifa haya.Brother hakunaga kitu kinaitwa 'urembo' when a man puts a stone on his finger, hiyo ni Blue Sapphire ring ina mazito sana, kwanza kabisa tayari nimeshajua kuwa Mchungaji kazaliwa September, dont quote me wron, yeye kuivaa haimaanishi 'uchawi' la bali nakwambia tu ya kwamba kaivaa kwa imani maalumu;
https://www.crystalvaults.com/crystal-encyclopedia/sapphire
Blue sapphire haijawahi kumuacha mtu mikono mitupu.Hahaha. Asante mkuu kwa maarifa haya.
Blue sapphire haijawahi kumuacha mtu mikono mitupu.Hahaha. Asante mkuu kwa maarifa haya.
Hii makala imetulia....nmepitia kipic tu kuna mwanga upo...ntakomaa nayoBrother hakunaga kitu kinaitwa 'urembo' when a man puts a stone on his finger, hiyo ni Blue Sapphire ring ina mazito sana, kwanza kabisa tayari nimeshajua kuwa Mchungaji kazaliwa September, dont quote me wron, yeye kuivaa haimaanishi 'uchawi' la bali nakwambia tu ya kwamba kaivaa kwa imani maalumu;
https://www.crystalvaults.com/crystal-encyclopedia/sapphire