Billion Dolar
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 1,292
- 2,953
Habarini wanajamvi
Aisee ofisini kwangu wamekuja waschana 4 field watatu ni waremb ila mmoja ni mrembo sana.
Sasa wakati wanafika nlikuwa safari kikazi kwa mwezi mzima hivo alikuwepo officemate wangu.
Jamaa mroho na yupo faster balaa nikakuta keshajimilikisha. Basi bwana nimekuja hivi mm nikawa cool kabisa sitaki kuonyesha dalili ya kuomba tuna kumbe wao wanajadiliana huko kweusi na oficemate wangu anajua.
Huyu mmoja alobakia havutii hata kidogo tu ila ananipenda sana and she is rotten to the core ni mdogo tu 18 to 20yrs, mm sivutiwi naye kabisa nampenda huyu mrembo kuliko wote jamaa hajala na dem kamkazia baada ya mm kuja ss jamaa kuona hivo akaomba mwenzao mmoja na keshagonga.
Sasa nimeamua kuwakaushia wote kwani namhurumia endapo nitamchukua huyu mzuri kuliko wote huyu anayenipenda nitamuumiza sana na kwakweli namhurumia kwani ana-declare kabisa ananipenda hadharani