Nieleweshe niwe wapi? Nitapenda kuwa msema kweli
Nimesema karibu uwe kwetu, kwetu ndio ukweli unakoishi....utafurahi kuusema ukweli na ukweli utakuweka huru nawe utakua huru kweli kweli, niliwahi kukutana na Dada mmoja Tanga-VETA anaitwa jina kama lako, tukasafiri wote hadi Dar but since then sijawahi kumuona wala kusikia tena toka kwake..........kwahio!!!!
Me nipo Dodoma kwa sasa kikazi. Asante Elli kwa ukaribisho. Mimi ni mhitim wa chuo kikuu na pia ni mfuasi wa mabadiliko. Nitatetea kweli. Wewe je upo wapi