Karibu mwaya chele2
Karibu.
Hahahahhahahahashahahha mkuu umepaza sauti na kuongea kwa herufi kuu....................!:rockon:Kwetu Kagera wanyaihangiro wanasema 'gijemu'.....karibu.......usisahau kunitembelea kwenye jukwaa la 'chit chat'.....jukwaa la siasa ingia kwa unyenyekevu......jukwaa la Kimbweka kuingia shurti kwa visa liko chini hukoooooooooo
Nashukuru sana kaka mkubwa,2po pa1Kwetu Kagera wanyaihangiro wanasema 'gijemu'.....karibu.......usisahau kunitembelea kwenye jukwaa la 'chit chat'.....jukwaa la siasa ingia kwa unyenyekevu......jukwaa la Kimbweka kuingia shurti kwa visa liko chini hukoooooooooo
Karibu sana JF.
Jinsia gani mme/mke? Bem vindo na JFAhsante mmmnoooo,da irene