Nami nimo

Kesban

Member
Joined
Mar 26, 2009
Posts
13
Reaction score
7
Kwa heshima na taadhima, nawasalimu wapenda maendeleo wenzangu. Tuko pamoja.
 
karibu mkuu ila soma kwanza sheria na kanuni za hapa JF kwanza.
 
Asante kwa salamu zako, nasi pia twakusalimu na kukukaribisha. Karibu sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…