Nami nimo

Lyceum

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2009
Posts
1,046
Reaction score
568
Amani kwenu wana jf; niko na furaha kujiunga na forum the home of great thinkers. Natumai nami nitachangia ili nami niweze kuchangia kwenye kufanya watanzania kufikiri kwa uhuru zaidi. Tupo pamoja
 
Hujamuuliza kale kaswali ketu ka he au she.

Inabidi Moderator aifanyie kazi lile swala la Firstlady kuondoa tabu ya wanaJF kuhusu jinsia za memba wapya. Itakuwa vema sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…