Nami pia mgeni naomba mnipokee

Nami pia mgeni naomba mnipokee

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nimefurahi kujiunga leo na jf nilikuwa natamani sikumoja nami nichangie mada, hatimae imekua.
Kwa heshima nimekuwa miongoni wa jf member kukukaribisha humu naomba ukumbuke fadhila hizi ktk ufalme wako ndugu, rafiki, mheshiniwa, komred, bosi mkuu Paskalina na wote waseme Amen

Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
 
Write your reply...Ndo mimi mkuu nilijiunga ila sikuwahi kukoment mkuu James, asanteni kwa kunikarbisha
 
Niulize, swali kwako..
Kipi hasa umekua ukipendezwa nacho kuhusu JF

Na/or why umeamua kutoa muda wako kuwa as active member wa JF

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikua natamani nami nitoe maoni yangu au kuchangia katika mada mbalimbali zinazowekwa mezani, kuuliza mambo nisiyoyajua na pia kupata ufahamu wa mambo mbalimbali mkuu, kuna mada nilikua natamani kuchangia lakini nilikua nashindwa
 
Sasa kwanini wew mambo ya muhimu unakuwa unajichelewesha??? Kwann?

Mkuu nilikua nimejisajili tangu 2016 lakini nikawa niki log in inakataa, leo nimejaribu ndio imekubali sijui nilikua nakosea nini, nilikua nasoma tu napita roho ilikua inaniuma sana, now mambo mazuri
 
Back
Top Bottom