Nami pia nimewa-miss WAPWAs na MABINAMUs

Zion Daughter

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2009
Posts
8,921
Reaction score
4,240
Popote mlipo mie ZD nimewamisi mnooo yani....kwa kifupi nimewakosa na nawatamani.....
Nazikumbuka sana ofutopik zenu....
Wapwa wote mkiwakilishwa na : Geoff,Nguli,Chrispin,bht,Sipo,MJ1,Fidel80,Nyamayao,JS,Kaizer,GS,Pakajimy,Kimey,Dreamliner,
Dawomanizer,MwitaMaranya,Lilyflower,Masaki,Bala,Bigirita,FL1 n.k n.k

Hata hivyo nasikia kuna mabadiliko mengi kiasi:
.....siku hizi baadhi ya wapwa nasikia wamechakachuliwa na wachina na wamejiunga kwenye ISC,
......Wengine wamebatizwa upya,eti akina teamo,Asprin na nani sijui.

Mbarikiwe sana na Bwana.mie nawaombea sana ili mkombolewe kutoka kwa mwovu infi.

Salamu nyingi kwa Wapwa wapya na mabinamu wote.

Lidumu jukwaa imara la MMU- chombo cha kurekebisha tabia za akina DaSophy .
:israel::israel::israel:
 
Hata kama simo kwenye listi lakini mi binafsi nilikukumbuka kweli na nilikuwa najiuliza kila siku uko wapi,nashukuru umiwakumbuka wapwas na kwa sala nawaombea wana JF wote kwa mungu wetu atukomboe na jinamizi linalotunyemelea la Chenge kuwa spika wa bunge letu.
 
Hata mimi nimekumiso, nadhani nitakuwa hapo kwenye n.k., za masiku?:smile:
 
ZD,

Mbona unataka kuingia ikulu bila hodi au appointment? Hizo valangati za wenyewe utaziweza?

Afwazali nimekustua mapema,

Ret Maj Gen DC (1947)
 
naomba nkupe umbea bibi wee
uyo bigirita na finest sasa ivi hapatosh kisa MAMA BG
juzi jumapili kdg palipuke paleeeeeeee MBUZI KONA wakat finesta anajitapa kamsndkiza mama bg usiku kucha walikuwa wote bgrita akawa mdg tu!!!!!
 
karibu sana mamy...na ulipotea...hawajambo huko utokako?...ulipiga kura? natumaini umetuletea mpya nyingi
 
Ohooo ZD nimekumiss sana halafu jana nilioteshwa ndoto juu yako
 
naomba nkupe umbea bibi wee
uyo bigirita na finest sasa ivi hapatosh kisa MAMA BG
juzi jumapili kdg palipuke paleeeeeeee MBUZI KONA wakat finesta anajitapa kamsndkiza mama bg usiku kucha walikuwa wote bgrita akawa mdg tu!!!!!

:tape::tape::tape::tape::tape::tape::tape:
 
naomba nkupe umbea bibi wee
uyo bigirita na finest sasa ivi hapatosh kisa MAMA BG
juzi jumapili kdg palipuke paleeeeeeee MBUZI KONA wakat finesta anajitapa kamsndkiza mama bg usiku kucha walikuwa wote bgrita akawa mdg tu!!!!!
Ahahahaaaaaah kumbe na wewe umbea unauweza!
 
Nasi tulikumiss sana karibu tena jukwaani.
 
ZD, kwani uko wapi Shemeji? maana walau tunajua Regia alikuwa jimboni!
 
naomba nkupe umbea bibi wee
uyo bigirita na finest sasa ivi hapatosh kisa MAMA BG
juzi jumapili kdg palipuke paleeeeeeee MBUZI KONA wakat finesta anajitapa kamsndkiza mama bg usiku kucha walikuwa wote bgrita akawa mdg tu!!!!!
The finest hata akipeleka lile lory la TOT na amkodi Komba kwenda Airport, bado anabaki kuwa digi digi tu!
 
ZD, kwani uko wapi Shemeji? maana walau tunajua Regia alikuwa jimboni!
Na mimi pia nataka kujua wapi kajificha huyu mdada...kama uchaguzi ushakwisha..
 
ZD nimekumiss pia..Ubarikiwe mpendwa!
 
Karibu tena Binti Sayuni,na asante kwa prayer
 
zeidii nimetumwa na teamo,na geoff na carina-TI nikupe salamu zao na masham sham ya kutosha
 
naaaaam nasi pia tumekukosa na tunakutamani sana

kama ulipiga kura ya mabadiliko mungu akubariki sana
 
aisee misongamano inasababisha malumbano sana.....mnaendeleaje humu wapwaz na binamuz...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…