The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kampuni ya Huawei imetuhumiwa kutoa rushwa kwa wanasiasa na wafanya maamuzi ilo ipate kandarasi ya kujenga mtandao wa 5G.
Meya wa mji wa Windhoek amesema alipewa pesa za hongo mamilioni ya shilingi ili aipitishe Kampuni ya Huawei ili ijenga mtandao wa 5G.
Jana Uingereza ilitangaza kuiondoa Huawei nchini humo hadi kufikia mwaka 2027 baada ya kutuhimiwa kua inatumika na serikali ya China.
Mwezi uliopota mahakama kuu ya Kenya ilisema tender ya ujenzi wa reli ya SGR kwa kampuni ya kichina ilijaa rushwa na haikufuata sheria.
Exclusive: Corruption allegations in Namibian 5G deal with Huawei