The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Mtawaua wachina jamani waacheni wapumueKampuni ya Huawei imetuhumiwa kutoa rushwa kwa wanasiasa na wafanya maamuzi ilo ipate kandarasi ya kujenga mtandao wa 5G.
Meya wa mji wa Windhoek amesema alipewa pesa za hongo mamilioni ya shilingi ili aipitishe Kampuni ya Huawei ili ijenga mtandao wa 5G.
Jana Uingereza ilitangaza kuiondoa Huawei nchini humo hadi kufikia mwaka 2027 baada ya kutuhimiwa kua inatumika na serikali ya China.
Mwezi uliopota mahakama kuu ya Kenya ilisema tender ya ujenzi wa reli ya SGR kwa kampuni ya kichina ilijaa rushwa na haikufuata sheria.
Exclusive: Corruption allegations in Namibian 5G deal with Huawei
Hata km kachapia ila ujumbe umefika wambie rafiki zako China hatutaki hongo zaoJamaa kachapia kama alikuwa anaandika anakimbizwa[emoji1787]
China ni unstoppableHahaha China kweli anakuja juu
Dunia nzima inataka pambana nae!
Dunia nzima haina tatizo na China, wenye matatizo na Uchina ni Amerika tu - yeye ndiye anaonga vyombo vya habari vya magharibi na mashariki yakati kujenga taswira kwamba Wachina ni wezi na walaghai - ugomvi wao ni wa kiuchumi zaidi halafu wanataka kulazimisha Dunia iunge mkono kampeini chafu za Trump dhidi ya China specifically Huawei products.Hahaha China kweli anakuja juu
Dunia nzima inataka pambana nae!
wewe hauna tatizo na hizo hongo zao?Dunia nzima haina tatizo na China, wenye matatizo na Uchina ni Amerika tu - yeye ndiye anaonga vyombo vya habari vya magharibi na mashariki yakati kujenga taswira kwamba Wachina ni wezi na walaghai - ugomvi wao ni wa kiuchumi zaidi halafu wanataka kulazimisha Dunia iunge mkono kampeini chafu za Trump dhidi ya China specifically Huawei products.
wewe hauna tatizo na hizo hongo zao?
Hata sisi tunatatizo na china kwa kutuangamizia Tembo wetuDunia nzima haina tatizo na China, wenye matatizo na Uchina ni Amerika tu - yeye ndiye anaonga vyombo vya habari vya magharibi na mashariki yakati kujenga taswira kwamba Wachina ni wezi na walaghai - ugomvi wao ni wa kiuchumi zaidi halafu wanataka kulazimisha Dunia iunge mkono kampeini chafu za Trump dhidi ya China specifically Huawei products.
Hata sisi tunatatizo na china kwa kutuangamizia Tembo wetu
We si ulisema US tu ndo ana tatizo na china?! Nami ndo nikasema nasi tunamatatizo na china kwa kuangamiza tembo wetu, umeshindwa kusimamia hoja yako ya uongo umeibuka na sakata la makinikia! Na lenyewe nakujibu kwamba 'ndiyo tuna matatizo na wazungu kwa kuiba madini yetu'Oh, is it? Je, makonteina ya makilikia na wizi mkubwa wa mineral resources zetu wahusika wakuu walikuwa ni akina nani? Wachina au Maswahiba wenu ngozi nyeupe!! Wachina wezi, Wachina wezi - uongo mtupu. China imekwisha wazidi kete USA lililipo Trump awe na ujasiri wa kukubali yaishe kuliko kijifanya MACHOMAN.
We si ulisema US tu ndo ana tatizo na china?! Nami ndo nikasema nasi tunamatatizo na china kwa kuangamiza tembo wetu, umeshindwa kusimamia hoja yako ya uongo umeibuka na sakata la makinikia! Na lenyewe nakujibu kwamba 'ndiyo tuna matatizo na wazungu kwa kuiba madini yetu'
Nchi kibao tu zinamatizo na china afu wewe unakuja hapa na uongo wako eti US tu ndo anamatatizo na china unabanwa mbavu unahamishia goli kwenye makinikia.
Maneno meeengi ili tu kukwepa uongo wako, nimekupinga sehemu moja tu ya kwamba Marekani tu ndo anatatizo na china, huo ni uongo. Sasa wewe badala ya kuthibitisha ulichosema si uongo au kukubaliana na Mimi kwamba kweli ulichosema ni uongo, wewe umeamua kuleta vitu ambavyo wala sijaviandika hapa.Kama unadhani hakuna analogue kati mnacho kisema na ufafanuzi wangu, basi, I suggest you should have your head examined.Nyinyi mnasema ubaya wa Wachina mimi nimeonyesha upande wa pili wa shillingi kwa kutoa mifano ahi ya Wizi wa madini ya Taifa letu yaliyo kuwa yanatoroshwa na Kampuni za Wazungu miaka nenda rudi mpaka walipo kuja kushtukiwa na Serikali ya awamu ya tano.
Oh, I almost forgot - one more thing, tell you what? You should learn to agree to disagree without offending anyone, madhumuni ya JF ni ku elimishana sio kutuniana misuri au kuonyesha nani zaidi hayo ni nambo ya kitoto na ya watu ambao elimu yao ni dismal kabisa - usifikiri hatuna uwezo wa kutumia abbrasive language kama ya kwako, badala ya ku-address binadamu wenzako kistaarabu unakimbilia kutumia lugha za mipasho ya taarabu kama Adja Kopa, he goes, eti "Nimebanwa mbavu" what is this supposed to mean?
Maneno meeengi ili tu kukwepa uongo wako, nimekupinga sehemu moja tu ya kwamba Marekani tu ndo anatatizo na china, huo ni uongo. Sasa wewe badala ya kuthibitisha ulichosema si uongo au kukubaliana na Mimi kwamba kweli ulichosema ni uongo, wewe umeamua kuleta vitu ambavyo wala sijaviandika hapa.
Mimi sijazungumzia suala la wizi hapa make mie mwenyewe mwizi, nakwepa kodi kuiibia serikali mapato yake. Kwa hiyo sina uhalali wa kujadili wezi hapa kwa kuwa mimi mwenyewe mwizi. Ebu kwanza turudi kwenye hoja yako kusema US tu ndo ana tatizo na china huo ni Uongo kwa hiyo wewe ni muongo.
Hata Magufuli tu hapa aliwachana na akalivunjilia mbali limkataba lao la kinyonyaji, ila vijamaa vilikuwa vimeshamuingiza kingi JK. Na ndo anachofanya Trump baada ya watangulizi wake kuingizwa kingi.Kabla ya crusade ya USA, nitajie mataifa mangapi Duniani yaliwahi kuilalamikia China kwamba inafanya mambo ya ndio sivyo kwenye masuala ya biashara, tujikite masuala ya biashara sio Geopolitics. Ukweli wa mambo China haina tatizo lolote na mtu yeyote save Trump and his White House Administration.