Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

Namibia: Kampuni ya Simu inayomilikiwa na Serikali yadukuliwa, taarifa za Wateja zavujishwa, Tanzania tupo salama kiasi gani?

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Wakuu,

Wahenga wanasema mwenzako akinyolewa zako tia maji, Wenzetu Namibia yamewakuta, sisi tunajipanga vipi?

Taarifa kamili hizi hapa chini:
---

Kampuni ya simu ya Telecom inayomilikiwa na serikali ya Namibia imeshambuliwa na wadukuzi na kusababisha uvujaji wa taarifa nyeti za wateja.

Vyombo vya habari vya ndani vimeripoti kuwa wadukuzi waliiba karibu taarifa 500,000 ikiwa ni pamoja na taarifa binafsi na za kifedha za wizara, maafisa wakuu wa serikali na wateja wengine wa kampuni.

PIA SOMA
- Nigeria: WhatsApp na Facebook zapigwa faini ya Tsh. Bilioni 583.8 kwa kukiuka Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi
 
Back
Top Bottom