Namimi natafuta mke

Namimi natafuta mke

Salahan

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2014
Posts
2,963
Reaction score
3,685
*Mimi ni kijana mchapakazi, namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini, natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi watu mnaolike hata vitu ambvyo havieleweki huwa mnafikiria nini?
 
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]
 
*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila shaka watakuja kukupa hiyo chaja mkuu, hapa mtaani kuna mmoja namjuwa anayo ile ya pweza wacha nimwambie akuletee
 
Mkuu bora utafute ya Motorola maana ya Huawei sio long life[emoji23]
 
Back
Top Bottom