Hili jukwaa la jokes bhana, usituvurugelHivi watu mnaolike hata vitu ambvyo havieleweki huwa mnafikiria nini?
Bila shaka watakuja kukupa hiyo chaja mkuu, hapa mtaani kuna mmoja namjuwa anayo ile ya pweza wacha nimwambie akuletee*mimi ni kijana mchapakazi,namiliki nyumba yangu mwenyewe na naendesha biashara kibao hapa mjini,natafuta msichana mrembo mwenye umri kati ya miaka 23-28 aniazime charger ya HUAWEI*
*ndugu zangu msopenda ujinga naomba tuvumiliane[emoji23][emoji23][emoji23]