Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru wapitia changamoto baada ya maeneo yao kugeuka chemichemi pia vijito vingi vya maji kuibuka na kusababisha nyumba kupata nyufa hadi kuanguka huku vyoo vikiwa vimejaa maji na kufurika kutishia magonjwa wa mlipuko ya maambukizi kama kuharisha n.k Shule baadhi ya madarasa kuanguka
Mfano kijiji cha Mnazi Mmoja Kata ya Namiungo Tarafa ya Tunduru nyumba zinatitia huku maji yakifoka kutoka ardhini maeneo yote ya kijiji.
Mbunge na viongozi wamepita maeneo ya tarafa hiyo kujionea hali halisi kuongea na wananchi ili kuweza kuipatia serikali taarifa sahihi kwa ajili ya maamuzi kutatatua changamoto.