Namkubali Lady jey dee! Mpaka Diamond kaiba melodi yake!

Namkubali Lady jey dee! Mpaka Diamond kaiba melodi yake!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Yaani kuna nyimbo moja ambayo Jidee anaimba," yote mliosema" kuna melodi ambazo Diamond kaiga zote,kaweka kwenye wimbo wake wa my no one! Ha kumbe ukubwa dawa!
 
Daaaaa jamaaa parasite huyo af nahiyo atakana

Yaani ni parasite wa kutupwa! Kile kipande ambacho Jide anasema, "Nadhani hamjali maumivu yangu moyoni" kitu kama hicho,ndio kaiiga melodi nzimaa! Mi sio mwanamuziki ila nina hisia za muziki!
 
Dogo kutwa kusarandia vya watu tu ...ndo maana nawakubali Psq2 wako creative sana kuliko huyu limbukeni wa mapenzi
 
Back
Top Bottom