Yaani kuna nyimbo moja ambayo Jidee anaimba," yote mliosema" kuna melodi ambazo Diamond kaiga zote,kaweka kwenye wimbo wake wa my no one! Ha kumbe ukubwa dawa!
Yaani ni parasite wa kutupwa! Kile kipande ambacho Jide anasema, "Nadhani hamjali maumivu yangu moyoni" kitu kama hicho,ndio kaiiga melodi nzimaa! Mi sio mwanamuziki ila nina hisia za muziki!