Namkubali Sana JF Expert Member - Donatila

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2017
Posts
1,605
Reaction score
1,957
Wadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha hekima inaonekana kwa namna anavyochangia kazi mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF.
Hongera sana.
 
Haya mkuu tumekusikia nafikiri na yeye ata pita apa ku acknowledge hizi Sifa
 
Wadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.
Hongera sana
Acha hizo, sema umemzimikia. Unajuaje kuwa ni xa uhakika? Nchi ya watu wa ajabu
 
Mkuu una undugu na wale watu wa redio ya mawingu au kipaji chako toka moyoni
 
Wadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha hekima inaonekana kwa namna anavyochangia kazi mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF.
Hongera sana.
donatila ni mwandishi wa habari by proffesion
 
Wadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha hekima inaonekana kwa namna anavyochangia kazi mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF.
Hongera sana.
Shukurani Mkuu...Ubarikiwe na YESU
 
Eeeeeh mtu akiandika ya chama tawala ndio kuwa na matusi.. ningekuwa nayo basi mngenikoma.. bahati nzuri nililelewa vizuri na sinaga maneno machafu.
Nakukubali sana mkuu...pamoja na kejeli upatazo ila unasimamia hoja...
 
Back
Top Bottom