Boniphace Kichonge
JF-Expert Member
- Jul 31, 2017
- 1,605
- 1,957
Acha hizo, sema umemzimikia. Unajuaje kuwa ni xa uhakika? Nchi ya watu wa ajabuWadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.
Hongera sana
Pia miss zomboko yupo vizuri na yule @kuzweil. GENTAMYCINE ana akili pana pia ila ana matusi ya rejareja kama akina jingalao Lizaboni na cocochanel
Eeeeeh mtu akiandika ya chama tawala ndio kuwa na matusi.. ningekuwa nayo basi mngenikoma.. bahati nzuri nililelewa vizuri na sinaga maneno machafu.
donatila ni mwandishi wa habari by proffesionWadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha hekima inaonekana kwa namna anavyochangia kazi mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF.
Hongera sana.
Shukurani Mkuu...Ubarikiwe na YESUWadau
Katika familia ya JF nimetokea kuvutiwa sana na kazi za JF Expert member Donatila. Anao uwezo mkubwa wa kutafuta taarifa za uhakika, kuzichambua, kuziandaa na kisha kuzitoa kwetu.Aidha hekima inaonekana kwa namna anavyochangia kazi mbalimbali zinazowasilishwa hapa JF.
Hongera sana.
Nimekuja mkuu...nimefurahiii...Donatila doti doti mamaaa njoo uchukue pongezi huku kutoka kwa kichonge
Acha wivuu wewe...Acha hizo, sema umemzimikia. Unajuaje kuwa ni xa uhakika? Nchi ya watu wa ajabu
Promo ipi...mtu akiona jitihada za mtu ni promo...acha hizoKuna promo humu siku hizi..utafikiri kuna vyeo vinagombewa.
Nakukubali sana mkuu...pamoja na kejeli upatazo ila unasimamia hoja...Eeeeeh mtu akiandika ya chama tawala ndio kuwa na matusi.. ningekuwa nayo basi mngenikoma.. bahati nzuri nililelewa vizuri na sinaga maneno machafu.
Njoo PM nina ujumbe wako muhimuNimekuja mkuu...nimefurahiii...
wivu wakati sikujuiAcha wivuu wewe...