Namkubali sana Joe Kusaga na ni role model wangu lakini kufanya naye biashara ni 'risk'

Tunasubiri suuu,tuachane na kila lisilo muhusu diamond, kisha wakae pembeni kama wanaweza


Wajinga sana hao,ndo mana bashite alikataa kuwaomba radhi
Bora angewacharaza tu.
Tuliwasikotikia na alichokifanya bashite kumbe they deserved it
 
Kusaga hana beef na Diamond..
wenye beef ni Ruge na Bashite
hao WCB na Shilawadu wameingizwa tu kama chambo...na victims

Kusaga anapiga na kupuliza...biashara ni kati ya kusaga, smart industry na diamond, ukitumia radio na tv za kusaga kumshambulia diamond kupitia diamond karanga uhoni kuna namna kusaga anachezesha watu ngoma anayoifahamu? kusaga knows everything na ana sehemu yake kwenye huu mgogoro.
 

Kama ni hivyo basi hao WCB ni vichwamaji
wanagombana na Ruge badala ya Kusaga...
 
Sinaga role model and I refuse to be a role model
 
*demu wako wa ukweli ni Yule atakae kwambia "beby kutokana na hali hii ya uchumi Valentine hii sitaki unitoe out nataka unitoe jasho*[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…