Toxic me siwez kudangany mkuu,Kwani kuwa maarufu humu kuna malipo yeyote?
Maana kuna vitu vingine hata mantiki havina, ukaache kazi zako ufungue account fake ili uje kusifia account yako fake nyingine maana asilimia kubwa humu ni ma account fake kwa vile hatutumii majina halisi.
Haya Bwana Laban aka Tariq f jitihada zako tumeziona.
Subiri comments za wandewaHabari wadau
Huyu mwamba labani og namkubali sana humu jf, jamaa comments zake ndo zinaniacha hoi na kunivunja mbavu na hata nyuzi zake,
Nimesoma uzi wa umughaka nikaona posts zake akijifanya anaendeleza story ya umughaka, aiseee ni vituko tu!
Huyu ni member wangu bora wa mwezi
Tamu za numbie [emoji1787]Dunia inaenda kasi sana. Haya laban tumekusoma kumbe nawe ni member humu
Ngoja kidogoHabari wadau
Huyu mwamba labani og namkubali sana humu jf, jamaa comments zake ndo zinaniacha hoi na kunivunja mbavu na hata nyuzi zake,
Nimesoma uzi wa umughaka nikaona posts zake akijifanya anaendeleza story ya umughaka, aiseee ni vituko tu!
Huyu ni member wangu bora wa mwezi
Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume me hawa vijana siwaelewi kabisa, ina maana kuna baya lolote kumsifia mwambaNgoja kidogo