Namkubali sana Nandy

Namkubali sana Nandy

Medicci

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2016
Posts
553
Reaction score
915
Jamani huyu Dada kweli ni African Princess, anarangi na mwonekano mzuri kweli..
she is so cute.
na sauti yake ndio usiseme, yaan kila ninapo msikiliza moyo unajaa furaha kweli.
Anakafigure flani hivi murua sana..
5240a8f88d873f8d4aa0a6ca24af24db.jpg

Look at those eyes jmn so innocent and appealing.
How juicy her lips are..
And that African color, yaan hutamani hata kuacha kumuangalia.

af3d1a6fd2fb6488d3b332b24c2417af.jpg


Yaan hilo tabasamu lake Sasa, Nandy you are the cutest [emoji7] [emoji6]
Popote ulipo mumy, just know that you have moved me. Am into you and big up kwenye kazi yako ya mziki.
Medicci is unto you mumy
 
huyo anaemuiga sauti ruby....chakula ya ruge iyo
 
Ni mzuri, Mungu ashukuriwe kwa kutuletea watu wa kisasa, kuna watu wengine ukiwaangalia unaweza ukahisi ni chapisho la kale au ni sample ili kujaribu kama watu wataikubali ama la.
 
Mbona hujaweka number ya cm ili akutafute.
[emoji16][emoji16][emoji16]
 
sawa,ntafikishia shemegi yako hizi compliments toka kwa member mwenzangu wa jf...tatizo lake hajajiregister humu bado..na kila nikimshauri anakuwaga mbishi kweli.
 
Mbona huyo Nandy kama ndio mleta mada? Sawa ujumbe tumeupokea ila ongeza picha nyingine zaidi
 
Back
Top Bottom