Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
Ghadaffi alikataa kukimbia nchi akapambana mpaka tone la mwisho. Alipambana akafa akipambana. Hakukimbilia kwa mabeberu, alipambana akashinda.
Saddam Hussein naye alikataa kukimbia. Alipambana mpaka mwisho. Mpaka naye akapambana na kupambana akashinda.
Assad, khaaaaah! Salaleeeeeh awezaje kimbia nchi yake kwenda hifadhiwa na mabeberu? Walau angekimbilia Iran hapo au nchi nyingine siyo za wavaa misalaba. Hilo limenisikitisha sana.