Namleta kwenu mwalimu wa Falsafa mwenye degree 4 asieonywa na darasa la saba

Huyu atalipa mengi
Ameumiza wengi tangu miaka ya 90
Kazi kujipendekeza ili kuumiza watu
Akalime mpunga asisumbue watu
India hakutaendeka
 
Huyo daktari wa falsafa sidhani kama kweli ni daktari wa falsafa kwa hayo yanayomtoka kinywani mwake. Kuna watu wana knowledge kutokana na experience. Si aseme basi ameonywa nini, na alikuwa anafanya nini?

Kwanza alete ile sehemu ya taarifa/ repoti ya Richmond aliyoificha Bungeni. Msomi gani hatoi taarifa kamili - cherry picking.
 
Umejibu vizuri sana, watu tuna tabia ya kujifariji! Bill alikwenda shule, akapata concepts za computer programming and the like! akashindwa ku graduate, but he had knowledge already.
 
Huyu atalipa mengi
Ameumiza wengi tangu miaka ya 90
Kazi kujipendekeza ili kuumiza watu
Akalime mpunga asisumbue watu
India hakutaendeka
Toka 1990.. hii code nimeisha ifungua.. na hii kutoweza kwenda Indi nayo nimefungua.. duh!
 
Kuna kusoma na kuelimika. Huyo mzee ameishia kusoma maandishi na kupata makaratasi halafu anataka kujifanya mjuaji. Watu wa Kyela wamemwelewesha ipasavyo na mavyeti yake.
wewe nae ni wale wale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…