MIAMIA.
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 210
- 82
JF salaam!
Wadau kama kichwa cha habari kinavyojieleza,naomba mwenye maujuzi ya kupika crisps anisaidie napenda sana hii kitu nahitaji wife awe ananiandalia nyumbani badala ya kununua kila siku yani pale ninapojisikia...iwe crisps ya aina yoyote yani ndizi,kiazi n.k
Amani na iwe nanyi...
============================================
Queen___ said
Habari wana Jf...
Nimepokea suggestion pm kuhusu utengenezaji wa crisps za viazi
MALIGHAFI
1.VIAZI MBATATA KIASI
2.CHUMVI
3.MAFUTA YAKUPIKIA YA MAJI
4.MASHINE YA KUPARUZIA KAROTI
NAMNA YA KUPIKA
Menya viazi vyako kisha vioshe vizuri hakikisha huviachi na majimaji. Katakata kwa kutumia mashine au kama huna tumia kisu kikali. Kata maduara madogo madogo.
Vianike kidogo viwe vikavu. Bandika kikaangio jikoni weka mafuta mengi yakutosha (yakiwa kidogo zitaungua chini) yaache yapate moto kisha weka viazi vyako ulivyo katakata.
Baada ya mda geuza ili visishikane wacha viive vizuri ipua nyunyiza chumvi. Wacha vipoe tayari kwa kuliwa au kuuza.
-sio mashine zote za kuparuzia karoti zina sehemu ya kukatia crisps. Ulizia madukani utaonyeshwa mashine tofauti tofauti.
Asante...
-Queen Chagga.