SHOOyaKIBABE JF-Expert Member Joined Feb 10, 2014 Posts 2,181 Reaction score 1,714 Aug 14, 2016 #21 Prishaz said: Mimi huwa naacha kny maji kwa muda wa one hr na zinatoka vizuri sana. Click to expand... Prishaz Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata?
Prishaz said: Mimi huwa naacha kny maji kwa muda wa one hr na zinatoka vizuri sana. Click to expand... Prishaz Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata?
Prishaz JF-Expert Member Joined Nov 18, 2011 Posts 2,898 Reaction score 5,020 Aug 14, 2016 #22 SHOOyaKIBABE said: Prishaz Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata? Click to expand... Baada ya kuvikata.
SHOOyaKIBABE said: Prishaz Unaviacha viazi kwenye maji before or after kuvikata kata? Click to expand... Baada ya kuvikata.
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Jan 28, 2017 #23 wana jukwaa la mapishi naombeni msaada wa utaalamu wa kutengeneza crips za viazi vitamu,mihogo pamoja na ndizi asanten
wana jukwaa la mapishi naombeni msaada wa utaalamu wa kutengeneza crips za viazi vitamu,mihogo pamoja na ndizi asanten
Q Queen___ JF-Expert Member Joined Jul 30, 2016 Posts 214 Reaction score 221 Feb 2, 2017 #24 kinywanyuku said: wana jukwaa la mapishi naombeni msaada wa utaalamu wa kutengeneza crips za viazi vitamu,mihogo pamoja na ndizi asanten Click to expand... Hello.. Umejaribu hayo maelekezo umeshindwa?
kinywanyuku said: wana jukwaa la mapishi naombeni msaada wa utaalamu wa kutengeneza crips za viazi vitamu,mihogo pamoja na ndizi asanten Click to expand... Hello.. Umejaribu hayo maelekezo umeshindwa?
kinywanyuku JF-Expert Member Joined Jul 13, 2015 Posts 3,746 Reaction score 2,924 Feb 2, 2017 #25 Queen___ said: Hello.. Umejaribu hayo maelekezo umeshindwa? Click to expand... nashukuru nimeweza