Namna bora ya kuboresha makalio

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Makalio yetu ndiyo yanatoa shepu fulani kwa mwanamke katika vivazi na ukiyaachia ovyo yanaweza kukuletea mushkeli na kama ukiyatengeneza kama yale makalio yanayosifiwa sana na watu wa Televisheni ya Jeniffer Lopez hayawezi kufua dafu.

Wanawake wengi kwa sasa wanakwenda kuboresha makalio yao ili kuyapatia ukubwa unaostahili kwa jinsi wao wanavyopenda.

Hatua hizo ni kama ifuatavyo.
1. Fanya masaji na losheni zinazoimarisha na kutengeneza ngozi mwororo katika mapaja yako ukianzia chini ya makalio mara mbili kwa siku.

2. Ondoa miinuko midogo midogo isiyotakiwa ni yako kwa kuskrabu mara mbili au tatu kwa wiki ukitumia salt scrub.

3. Pamoja na matatizo ya michuchumio, ivae ili kukupa nafasi ya kutembea kwa miondoko ya twiga inayotoa nafasi nzuri kwa makalio kuwa na mvuto.

4. Tafuta namna nzuri ya kuficha michirizi ya kunyooka kwa misuli ya mwili.

5. Mazoezi yatakufanya uwe mtu tofauti zaidi pandisha ngazi kwa dakika kumi au zaidi na chukua mazoezi ya kubana makalio yako na sehemu za kiuno kwa kusukuma kwa ndani na kutulia hivyo kwa sekunde tano na kujiachia na unaweza kufanya hivyo unavyotaka.

Pia unaweza kuongeza uzuri wa makalio yako kwa kuhakikisha unakula vyema na unakula inavyostahili.



Muungwana blog
 


Wanaojali saaaaaan makalio kuliko tabia na personality ya mwanamke sio waowaji, ni watafunaji, sasa ni bora ungeenda corner bar kutoka huu ushauri!
 
Karibuni PM tunafanya scrub ya makalio na kuyarekebisha mwonekano wake. Saa 1 Tsh 2000
 
Ukiachilia mbali kuyakalia kazi nyingine ya makalio ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…