Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Admit what you did wrong.
Say your apology with sincerity.
Then going forward ensure the apology comports with your actions.
well said Nyani Ngabu, but muda mwingine mazingira yaweza kukurudisha nyuma ama kuushikilia msamaha wako what do you do in such situation?
gfsonwin, nakupendea details, unajua sana kutoa details hadi msomaji anapata raha.
Hakuna mzazi anasapoti bintiye akirudi kwao kisa kashindwana na mmewe, labda wanaogopa aibu ya binti yao kuachika.
mfano labda mume anafanya kazi mbali na nyumbani, so mama analea watoto na mambo mengine baba kazi yake ni kutuma pesa tu. katika zingira kama hili mume karudi kakuta hakuna chochote cha maendeleo alichofanya mkewe ilihali pesa anatuma mara ya kwanza mume akasema mke akaomba samahani maisha yakaendelea. next time mazingira hayo hayo ya kuwa peke yake akili inashindwa kuamua constructively akitumiwa pesa hawez kufanya maendeleo ingawa anatamani sana akianzisha mradi unakufa na anatumia hela nyingi sana kuanzisha ila mwisho wa siku hakuna anachokipata what do you do in such situations?Ili nielewe vizuri swali lako, naomba mfano, tafadhali.
Popote ulipo gfsonwin naomba majibu ya hutu tuswali twangu twa kitoto.
Admit what you did wrong.
Say your apology with sincerity.
Then going forward ensure the apology comports with your actions.
Hapo kwenye kuadmit ndo huwa panakuwaga pagumu. Mi huwa nakimbilia kwenye "sorry" kabla sijaadmit. Am telling you me, ukiitumia sorry kwa muda muafaka na sincerely, unasamehewa hata kabla hujaulizwa what happened. Unapochelewa kuomba msamaha unaibua mengi ambayo hukuyatarajia kiasi kwamba kuomba msamaha inakuwa mbinde.
Hapo kwenye kuadmit ndo huwa panakuwaga pagumu. Mi huwa nakimbilia kwenye "sorry" kabla sijaadmit. Am telling you me, ukiitumia sorry kwa muda muafaka na sincerely, unasamehewa hata kabla hujaulizwa what happened. Unapochelewa kuomba msamaha unaibua mengi ambayo hukuyatarajia kiasi kwamba kuomba msamaha inakuwa mbinde.
Asprin hapa inategemea uliye mkosea ana akili gani manake kama ni kwa mwanaume na aliyekosa ni mwanamke ujue ukianza na samahani basi umepigia mstari ishu ya kuachwa kwa makosa kama ya kucheat, manake atasema ni kweli umefanya so nimbie ilikuwaje and so forth approach nzuri unamwacha aseme yote kisha wewe unakiri na kutubu na kumwambia remedy yako wewe wataika iweje.Hapo kwenye kuadmit ndo huwa panakuwaga pagumu. Mi huwa nakimbilia kwenye "sorry" kabla sijaadmit. Am telling you me, ukiitumia sorry kwa muda muafaka na sincerely, unasamehewa hata kabla hujaulizwa what happened. Unapochelewa kuomba msamaha unaibua mengi ambayo hukuyatarajia kiasi kwamba kuomba msamaha inakuwa mbinde.
Kongosho you are very right ma dear kwamba sorry haiwez kuja kabla hujaadmit. kibaya zaid kwa makosa ya mwanamke ukianza na sori tu unaambiwa ni kweli wewe umetenda so unataka msamaha wa nini. ndio maana huwa naona ni admit nikiona msamaha sipewi na propose option nyingine ambayo itakuwa rahisi kunipatia msamaha.unasema sorry kabla hujaadimit umefanya nini???
Hii mpya aisee.
unasema sorry kabla hujaadimit umefanya nini???
Hii mpya aisee.
Mfano nimechelewa kurudi home nikafika usiku wa manane. Kuna cha kuadmit hapo wakati ishu iko wazi? Kabla hakujakucha nshammiminia masore ya kumwaga na mabusu mvua. Hapo nshazuia maswali kibao kesho yake ya ulichelewa wapi? ulikuwa na nani? kwanini hukunambia? etc. Au huu msamaha anauzungumzia gfsonwin ni kwa ajili ya wanaocheat kwenye mahusiano tu? Then am outta here!
Weakness yangu ni kwamba nikimuomba mtu msamaha toka moyoni afu yeye asiponielewa hua nakasirika, but all in all asante kwa darasa kipenzi gfsonwin
Mie ukiniomba msamaha kwa style hii najua humaanishi. Na uzuri akili yangu naitayarisha kuwa this will happen again sooner than later. So ikitokea wala sihangaiki kudemand explanation, nacheka tu huku napiga hesabu zangu. Kaunga ka sema alivunja mahusiano kiulaini. Yani nikikuacha wala hutajua sababu Yake.Hapo kwenye kuadmit ndo huwa panakuwaga pagumu. Mi huwa nakimbilia kwenye "sorry" kabla sijaadmit. Am telling you me, ukiitumia sorry kwa muda muafaka na sincerely, unasamehewa hata kabla hujaulizwa what happened. Unapochelewa kuomba msamaha unaibua mengi ambayo hukuyatarajia kiasi kwamba kuomba msamaha inakuwa mbinde.
just try to imagine that sentence it was then turned upside down kikaja na kipengele cha so long as you are mmachame then you want to pin down my dignity.....ulikuwa ugomvi ambao sitokaa niusahau hadi leo hii na mwisho wa siku mimi ndiye niliyeshidwa kwa kuonekana kwamba nataka ni mdominate yeye
dada gfsonwin hii issue ilikuwa inaonekana ndogo lakini mbona ili-explode out of proportion kiasi hicho? au mzee si mtu wa utani hata kidogo? kwa jinsi shughuli ilivyokuwa pevu, sidhani kama utakuwa tayari tena kumchezea simba shurubu...