Tetesi: Namna bora ya kusafisha image ya serikali kimataifa

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya iaminike kwamba Kuna freedom of speech

Lakini pia wakosoaji wa kweli kama kina lema mbowe lisu zito nk hawa wapewe pia space ya kuikosoa serikali bila kupata matatizo !!!
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
 
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya iaminike kwamba Kuna freedom of speech

Lakini pia wakosoaji wa kweli kama kina lema mbowe lisu zito nk hawa wapewe pia space ya kuikosoa serikali bila kupata matatizo !!!
Akili za kipimbi...
 
teheth!
mfano bwana yulee au ?
 
Tanzania ilichafuliwa na hao hao.. Kwanini Iwagwae kufanya maamuzi yake!!? Mimi nafikiri tubaki na Utanzania wetu kwanza.
 
Back
Top Bottom