Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kukandamizwa.
Akili za kipimbi...Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya iaminike kwamba Kuna freedom of speech
Lakini pia wakosoaji wa kweli kama kina lema mbowe lisu zito nk hawa wapewe pia space ya kuikosoa serikali bila kupata matatizo !!!
Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya iaminike kwamba Kuna freedom of speech
Lakini pia wakosoaji wa kweli kama kina lema mbowe lisu zito nk hawa wapewe pia space ya kuikosoa serikali bila kupata matatizo !!!
Tanzania ilichafuliwa na hao hao.. Kwanini Iwagwae kufanya maamuzi yake!!? Mimi nafikiri tubaki na Utanzania wetu kwanza.Namna bora ya kusafisha image ya gvt kimataifa ni kutengeneza wakosoaji feki watakaoisema sana serikali lakini wasiguswe waachwe waseemeee weeeee na wala serikali wasijibizane nao hii itafanya iaminike kwamba Kuna freedom of speech
Lakini pia wakosoaji wa kweli kama kina lema mbowe lisu zito nk hawa wapewe pia space ya kuikosoa serikali bila kupata matatizo !!!