Namna bora ya kutokomeza biashara ya ukahaba

Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
Unamaanisha Cha Wene?
 
Mwafrika usimfananishe na mzungu, unadhani ni makahaba wangapi wako tayari kujisajiri? waliowengi hawako tayari kujulikana lkn maisha yao yote ni ya ukahaba tu na ndio maana wanatoka usiku.
 
Wale wanasaidia sana hususani Dodoma sahivi!
Lakini mtu akitoka kupata huduma kwa mhaya anakuwaga na Soni uso mzima. Utamkuta mikono mfukoni huku amejiinamia taratibu huyooo....
 
Pia kuzini na kufanya ukahaba ni vitu viwili tofauti.
 
Kuna waziri mmoja wa wizara fulani hivi, (ubini wake unaanza na jina la mnyama mkali Sana mla nyama porini) yeye ndo mteja mzuri Sana wa hao madada powa! Hupendelea Hadi "Threesome"
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Wengine mnachangia tu hamjui mama zenu walijiuza na sasa mna degree na PhD, nyoko zenu
 
1. Wewe ni mteja wao

2. Huna imani ya kidini na staha ya kibinadamu kwa heshima ya kiafrika

Tunajua hata tusipo sema wataendelea kuwepo lakini hili si swala la kuanza kuelimisha jamii kuhusu kuruhusu huu upuuzi,we waache wawepo na shetani wao na ninyi wateja mbaki na shetani wenu na msijaribu kuijengea jamii taswira ya haki kuwepo kwa ukahaba.

Nasema hivi:...makahaba na wateja wao wote NYAANOKO
 
Naomba kujua hivi dada zetu walioamua kujiuza wawapo kazini huwa wanakata mauno?
 
Sasa utaelimishaje bila kusema na kuandika; NYANINAYO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…