Namna gani DAWASCO wanaweza kuvuna maji?

Joined
Oct 26, 2021
Posts
99
Reaction score
294
Uhaba wa maji DSM baada ya kina cha maji mto Ruvu kupungua kama chanzo kikuu cha maji ya taasisi hiyo (DAWASCO) umepelekea wakazi wa maeneo mbalimbali wa mkoa huo kutafuta njia mbadala za kupata maji na kuanza kuijumu taasisi ya maji DAWASCO.

Mbinu kama kukata mabomba na kuunganisha moja kwa moja zinatumika na kupelekea ofisi hizi kupoteza mapato yake.

Nini kifanyike?!
 
Mkuu kama kuna wadau wanahujumu DAWASCO nawashauri waendelee ila waboreshe mbinu zaidi maana haiwezekn umejua mapema kwahiyo iyo mbinu ni local sana,,

Pia hao DAWASCO ni sikio la kufa kwahiyo hata ukishauri namna ya kuvuna maji hawawezi fanya lolote wenyew wanachojali mishahara na marupurupu ya vikao vya mchongo wanapata basi..

Mimi nikiona mtu masikini anaiibia serikali huwa sihangaiki na lolote tena naweza mpa njia ya kuhujumu vizuri maana viongozi wake hawamjali kabisa kwaiyo acha wadau wahujumu nao ni keki yao ya taifa nd wanakula hapo zaidi ya hapo wanatimuliwa vumbi na kumwagiwa maji na V8 zenu.
 
Nilidhani unatupatia mbinu namna Dawasco wanaweza kuvuna maji, kumbe unaelezea namna raia wanavyo hujumu?

Basi badilisha "main heading" ya thread yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama kuna wadau wanahujumu DAWASCO nawashauri waendelee ila waboreshe mbinu zaidi maana haiwezekn umejua mapema kwahiyo iyo mbinu ni local sana,,

Pia hao DAWASCO ni sikio la kufa kwahiyo hata ukishauri namna ya kuvuna maji hawawezi fanya lolote wenyew wanachojali mishahara na marupurupu ya vikao vya mchongo wanapata basi..

Mimi nikiona mtu masikini anaiibia serikali huwa sihangaiki na lolote tena naweza mpa njia ya kuhujumu vizuri maana viongozi wake hawamjali kabisa kwaiyo acha wadau wahujumu nao ni keki yao ya taifa nd wanakula hapo zaidi ya hapo wanatimuliwa vumbi na kumwagiwa maji na V8 zenu.
Naunga mkono maneno yako, masikini akiihujumu serikali aendelee tu maana wao huko juu wanahujumu x100.
 
Back
Top Bottom