Mkuu kama kuna wadau wanahujumu DAWASCO nawashauri waendelee ila waboreshe mbinu zaidi maana haiwezekn umejua mapema kwahiyo iyo mbinu ni local sana,,
Pia hao DAWASCO ni sikio la kufa kwahiyo hata ukishauri namna ya kuvuna maji hawawezi fanya lolote wenyew wanachojali mishahara na marupurupu ya vikao vya mchongo wanapata basi..
Mimi nikiona mtu masikini anaiibia serikali huwa sihangaiki na lolote tena naweza mpa njia ya kuhujumu vizuri maana viongozi wake hawamjali kabisa kwaiyo acha wadau wahujumu nao ni keki yao ya taifa nd wanakula hapo zaidi ya hapo wanatimuliwa vumbi na kumwagiwa maji na V8 zenu.