Duh..... mi mwenyewe nataka kufungua commercial bank ulaya nifiche hela zenuHeri ya Mwaka!!
Kutokana na hili wimbi la serikali kufungia mabenk kweli nimepata shaka kuhusu uhifadhi na akiba ya masalio yetu.
Je,ni namna gani naweza kuweka hela zangu benk za nje?
Siku gharika likitokea niwe na blanket funds kuliko kuanguka kwa presha na kupasuka moyo.
Shukrani
Heri ya Mwaka!!

Kuja huku Mexico....Heri ya Mwaka!!