CHIBA One JF-Expert Member Joined Nov 16, 2018 Posts 558 Reaction score 2,093 Nov 18, 2018 #1 Wadau, Ningependa kujua mwenye ujuzi juu ya hizi zuria za ndani za manyoya (center carpets) imechafuka sana nahitaji kuisafisha, natumia njia gani??
Wadau, Ningependa kujua mwenye ujuzi juu ya hizi zuria za ndani za manyoya (center carpets) imechafuka sana nahitaji kuisafisha, natumia njia gani??
Hannah JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 9,679 Reaction score 39,087 Nov 18, 2018 #2 Mimi huwa napeleka kwenye presha zile za kuoshea magari. Japo sijajua kama ni njia sahihi.
O Otorong'ong'o JF-Expert Member Joined Aug 17, 2011 Posts 37,957 Reaction score 26,414 Nov 18, 2018 #3 Wacha ubahili..peleka Car Wash...
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Nov 18, 2018 #4 Loweka kwenye maji ya sabuni baada ya muda sugua na brash ukiwa una eneo la kuitandika ili uisugue kama huna peleka carwash
Loweka kwenye maji ya sabuni baada ya muda sugua na brash ukiwa una eneo la kuitandika ili uisugue kama huna peleka carwash
Waziri wa Kaskazini JF-Expert Member Joined Dec 12, 2015 Posts 7,981 Reaction score 17,743 Nov 18, 2018 #5 Carwash,