Namna gani ninaweza kumpata wakala wa Hisa za Acacia

KIEMBE

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
109
Reaction score
11
Habari za majukumu wana Jamvi.
Naomba niulize kwa mwenye kufahamu jinsi ya kuwasiliana na wakala anaetambulika na DSE yaani Dar es Salaam Stock exchange kwa jinsi ya namna ya kununua hisa.
Asanteni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…