kinesthetic
Member
- Feb 19, 2020
- 11
- 6
Km ina sound hivi!KAma utaweza,ua mmoja alafu muambe/mtundike sehemu ambayo wengine watamwona
KAma utaweza,ua mmoja alafu muambe/mtundike sehemu ambayo wengine watamwona
Samahani wakuu nilikuwa nauliza namna gani naweza kuwazuia nyani wale wadogo (ngedere), wanamaliza mahindi yangu kabla hayajaanza kukomaa, yaani wanavunja vile vinavyoanza kuweka mahindi. Naombeni ushauri kuhusu kuwaondoa au kuwazuia wasiendelee kula.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu ngoja nijitahidiKAma utaweza,ua mmoja alafu muambe/mtundike sehemu ambayo wengine watamwona
Nimewahi kusikia hivyo ukimdaka mmoja ukamtundika hawasogei kabisa, au washirikishe serekali kitengo cha wanyama pori, utawapata ofisi ya wilaya iliyopo karibu na ww.
hahaha we noma dadeki hao nyani lazima walie kilio cha mbwa kokoSaga pilipili kwa wingi kisha jaza kwenye makopo hasa yale ya reds, bavaria8.6 ama grandmalt toboa vitobo vidogovidogo kwa chini kisha ning'iniza na kamba kwenye kila shina la mahindi hasa sehemu wanako pendelea kupitia.
Hapo ngedere akiupalamia mti wa mhindi lile kopo litatikisika na kumwagia pilipili machoni. Atashindwa kuona na kuanza kupuyanga tu akijibamiza huku na kule wakati huo wewe unakuwa na NGONGO/RUNGU lako ni mwendwa wa kuponda vichwa tu! hapo hata akipanda kwenye mti mlenge na manati atapanda hadi kileleni mwa mti, sasa kwakuwa atakuwa haoni ataanguka chini unatwanga rungu.
Ukibahatika kumnasa mkubwa wao usimuue mzimishe kidogo kisha mnyweshe NYAGI kumpiga nusu kaputi. Mchune ngozi ya uso na umvishe kengele kisha muache aende zake kuwatafuta wenzie ambao watamnyanyapaa na kuhama maeneo hayo.
Fanya hivyo kisha rudisha mrejesho hapa.
Ninazo mbinu nyingi sana za kuwasurubu hawa wanyama wachafuzi so i hope this one will workout.
Pamoja mkuu ngoja ni apply hii njia maana wamenipa hasara mpka sasa wemetafuna karibia robo ya ekari ya mahindi.Saga pilipili kwa wingi kisha jaza kwenye makopo hasa yale ya reds, bavaria8.6 ama grandmalt toboa vitobo vidogovidogo kwa chini kisha ning'iniza na kamba kwenye kila shina la mahindi hasa sehemu wanako pendelea kupitia.