Namna gani nitawazuia Nyani kula mahindi shambani

bro umeuwa aise! [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kizombie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupa mbinu hii
Ukiweza kumkamata mfunge zile kengele ndogo wanazovisha ng'ombe au mbuzi hakikisha iyo kengele umeibana vizuri,sasa mwachie aende atakavyokuwa anawakilimbia wenzake basi nao watakuwa wazidi kimkimbia na mwisho wa siku wataama na watakuwa wameingia wilaya nyingine

Amini nakwambia nilimfunga mmoja waliakimbia na kuama takribani kilometa 20 na nyani uyo nilimkuta amekufa na nikatoa kengele yangu
Na wale wengine walikuwa wamedhoofu sana kwa kukimbia sana na ile sauti ya kengele ndo iliwamaliza kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sumu huwa tunaweka kwenye ndizi, maembe(kwa msimu wa maembe) pia Kama eneo Lina maboga huwa unatia sumu ndani. Ndizi usiimenye chukua bomba la kalamu ya wino,ingiza kwenye incha ya mwisho( siyo ya kwenye kikonyo) itatengeneza uwazi Kati Kati, utajaza sumu. Una ziba na ndizi, akila tu, hatembei hatua tatu. Ndizi weka upande wanakotokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama eneo linatembelewa na watoto (binadamu) ni hatari zaidi
 
Khaa huu ni unyanyasaji wa wanyama asee. Nature ina operate hivyo mkuu. Kama ingekuwa ni biashara tunasema kuna "cost of running a business". Hivyo huko shambani inabidi katika budget muwe mnaweka na fungu la ngedere kama sehemu cost ya kilimo.
 
Sumu inaitwaje mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta mapapai yaliyoiva,toboa weka sumu,watapukutika balaa,lakini jamaa wa wanyapori wakigundua msala...
 
Hahahaha hii kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…