Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Wanawake wa siku, utakuwa huwajui ?Mwanamke hawezi kuanza kujitongozesha kama wewe hujaonyesha interest
Wanawake wa siku hizi utakuwa huwajui!! Wala, hakuna interest, yeye tu ! Anaomba namba, anakuchatisha nk...Wanawake wa siku, utakuwa huwajui ?
Ukimpotezea hata week, bado anakutafuta !Si umpotezee... punguza mazoea ya kumpa nafasi yeye kujitongozesha kwako
Hujampotezea vizuriUkimpotezea hata week, bado anakutafuta !
Mleta mada angeweka picha kwanza...
Kuna ma single mama yaliyokuwa slay queens zamani. Mileage ishakata huwa wanakuwa desperate ukimchekea tu atakuita 'mume wangu' kabisa.Mwanamke hawezi kuanza kujitongozesha kama wewe hujaonyesha interest
MtukaneKuna ile mwanamke unamwona au mnafahamiana. Muda si muda mnapeana namba na mawasiliano kuanza. Katika kuwasiliana, mwanamke anajiletaleta au kujitongozesha.
Lkn inatokea mwanaume havutiwi na yule mwanamke. Hii ni kwa sababu wanawake wengine au huyo mwanamke sura haisomi kabisa au shape haitazamiki. Yaani ni ile yupo tu kama binadamu lkn hana mvuto wowote kabisa.
Lakini yeye anakuja tu, anajileta na kujitongozesha. Mnaongea tu kwa vile yupo au mnafahamiana Kama binadamu. Yeye mwanamke anawaza mahusiano/mapenzi. Ni namna gani ya kumkataa au kumkwepa au kuachana naye?
UongoMwanamke hawezi kuanza kujitongozesha kama wewe hujaonyesha interest