Habarini wapendwa;
Nna ndugu yangu yupo Marekani anahitaji nimtumie sato pamoja na dagaa wa kigoma,mana ana siku nyingi hajaja huku amezimisi, pia aweze kuangalia na namna ya kuwa namtumia afu anauza huko ananitumia hela yangu.
Kwa maana huko dagaa wa Kigoma huko wanauzwa dollar 40 kwa kilo moja, hivyo ni fursa nzuri sana.
Ombi kwenu ni kwa yeyote anayefahamu njia/namna na process za kufanya ili niweze kutuma huo mzigo huko USA.
Mimi napatikana kanda ya ziwa.
Karibuni