Ndugu Wanajamii Nataka Kujua Mbinu Za Utengezaji Wa Sabuni Za Kufulia.pamoja Na Mishumaa Na Uzi Huu Kwa Ajili Ya Kupata Maarifa Na Ufahamu Namna Ya Kutengeneza Bidhaa Ndogo Ndogo Kwa Ajili Ya Kunafaisha Vijana Wa Kileo Na Wa Kikesho (The Future Years). Mwenye Maarifa Basi Atuarifu Nasi. NB; mods si kila uzi hauna maana hii yote kwaajili ya vijana na watoto wetu wa badae kama sio wangu basi wa mods na wanajamiiforum. PEN-DOWN