Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Simba kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini ghafla mpango wao ukatibuliwa na fedha za kumwaga za Al Ahli Tripoli ya Libya ambayo ndio imefanikiwa kumnasa mshambuliaji huyo.
Mpango wa Simba kumsajili Mabululu ulianza tangu baada ya kumalizika kwa fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon) 2023 yaliyofanyika Januari huko Ivory Coast ambapo nyota huyo alikuwa moto wa kuotea mbali akifumania nyavu mara tatu.
Soma Pia: ATEBA ni Mnyama, Asaini miwili msimbazi