Namna mpango mzima wa kukamatwa Hush Puppy (Bilionea wa Kinigeria) ulivyo chezwa

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika

Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani

Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.

hizo pesa billion 100? zilikuwa kwenye room special au, maana ni nyingi mno
 
Stori uchwara, haina hata sababu ni kwa nini jamaa alikamatwa!
 
Ila wanaija Wana hela za kijanja janja ,kuna mmoja aliniambie nimcheki HIV test akanilipa elfu 40,
 
  • Thanks
Reactions: amu
Hata huyo hushpuppi vyanzo vyake vya hela havieleweki,labda yule mompha(the skyman) kidooogo vyanzo vyake vya hela vinaonekana .
 
Big up FBI hawa wapopo wameumiza wengi. Acha akamalizie maisha yake jela. Pesa aliyokuwa nayo angeiwekeza kujenga shule hospitali binafsi Nigeria kuliko anasa
 
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika

Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani

Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.

Mbona umeweka picha tu?
 
Muuza Ngada maarufu Africa.Ndugu yake ni waziri huko Nijeria wanamiliki vitu vya thamani sana.Pia kazipiga benki nyingi sana kwa wizi duniani.Pia wanamiliki makanisa mengi sana ya kiroho Nijeria.
 
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika

Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani

Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.

Kuna mwenzake anaitwa mompha sijui yuko wapi nae walewale
 
Back
Top Bottom