Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Kwa mujibu wa yeye mwenyewe ni mfanyabiashara, Ila sasa anatuhumiwa katika kosa la “scamming” ambapo anatuhumiwa kuiba dola millioni 30.Ni nani? Na alikamatwa kwasababu gani? Sio wote tupo huko instagram.
Si ni life tu??
Kwa pesa za kitanzania thamani yake ndo karibu billion 100 za kitanzania.hizo pesa billion 100? zilikuwa kwenye room special au, maana ni nyingi mno
Mbona umeweka picha tu?Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika
Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani
Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.
Mbona umeweka picha tu?
Yes! Angekua mjanja anapiga hela then ana keep low key.Huyu jamaa ana akili sana, sema hakuwa na akili timamu za kuzungusha pesa zake. Blood fool. Afu angeachana kabisa na mamitandao. Kenge kabisa
Kuna mwenzake anaitwa mompha sijui yuko wapi nae walewaleKwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika
Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani
Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.
sifa za kijinga. .zimemponzaHuyu jamaa ana akili sana, sema hakuwa na akili timamu za kuzungusha pesa zake. Blood fool. Afu angeachana kabisa na mamitandao. Kenge kabisa